Thursday, March 13, 2014

CCM FUNIKA BOVU KALENGA--CHEKI PICHA ZA KAMPENI ZA UBUNGE LEO

4
Mgombea ubunge wa jimbo la Kalenga kupitia chama cha Mapinduzi CCM Bw. Godfrey Mgimwa na Ndugu Jesca Msambatavangu Mwenyekiti wa CCM Iringa wakiimba wimbo mara baada ya kuwasili katika kijiji cha Itwaga. umbuiza katika kijiji cha Itwaga kabla ya kuanza mkutano huo. Mgombea ubunge wa jimbo la Kalenga kupitia chama cha Mapinduzi CCM Bw. Godfrey Mgimwa akishiriki kucheza ngoma na msanii Dokii katika kijiji cha Itwaga kabla ya mkutano huo kuanza wa pili kutoka kulia ni Ndugu Jesca Msambatavangu Mwenyekiti wa CCM Iringa Mgombea ubunge wa jimbo la Kalenga kupitia chama cha Mapinduzi CCM Bw. Godfrey Mgimwa akishiriki kucheza ngoma na msanii Dokii katika kijiji cha Itwaga kabla ya mkutano huo kuanza wa pili kutoka kulia ni Ndugu Jesca Msambatavangu Mwenyekiti wa CCM Iringa   Wananchi wakifuatilia kwa makini hotuba ya mgombea ubunge huyo. gombea huyo.
13Wananchi wakinyanyua mikono yao juujuu kuashiria kumkubali mgimwa
10Katibu wa CCM mkoa wa Iringa . Hassan Mtenga wa pili kutoka kushoto na  kutibu wa CCM mkoa wa Mtwara Bw. Akwilombe wakiteta jambo wakati wa mkutano wa kampeni katika kijiji cha Ilandutwa kulia ni Meja Mbuta meneja wa kampeni hizo na kushoto ni Mwampamba kada CCM kutoka UVCCM.9Wananchi wakirejea nyumbani mara baada ya kumalizika kwa mkutano huo.7Wananchi wakinyanyua mikono yao juu kumuunga mkono Bw. Godfrey Mgimwa,8Umati wa wananchi waliohudhuria katika mkutano wa kampeni katika kijiji cha Itwaga.6Diwani wa kata ya Mgama Bw. Denis LupCala akipiga magoti kumuombea kura mgombea wa CCM Bw. Godfrye Mgimwa.3Msanii Dokii akitoa burudani21Mgombea ubunge wa jimbo la Kalenga kupitia chama cha Mapinduzi CCM Bw. Godfrey Mgimwa akiwahutubia wananchi katika kijiji cha Ilandutwa kata ya Mgama Iringa vijijini akiendelea na mikutano mbalimbali ya kampeni ambapo amewaomba wananchi wa vijiji hivyo kumkopesha imani  yao na kumpa kura za ndiyo siku ya machi 16 jumapili ijayo ili aweze kuwalipa maendeleo katika jimbo hilo.

11Wananchi wakifuatilia kwa makini hotuba ya mgombea ubunge huyo.

No comments: