HII NDIO HABARI INAYOWACHANGANYA KICHWA WANACHAMA WA CHADEMA JIONI HII KUTOKA KALENGA

Habari ambazo zinasambaa kwenye vyombo mbalimali vya habari zinasema kuwa mbunge wa viti maalum ROSE KAMILI wa chadema amekamatwa na polisi kwa tuhuma za rushwa huko iringa katika jimbo la kalenga katika uchaguzi mdogo.habari zaidi ambazo bado hazijadhibitishwa na chadema zinasema kuwa mbunge huyo amekamatwa jioni hii baada ya vijana wa ccm kuwaita polisi na kuwaambia kuwa mbunge huyo anatoa rushwa
Pichani shoto ni Mbunge wa viti Maalum Mkoa wa Manyara kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),Mh.Rose Kamili akielekezwa sehemu ya kupita wakati wakiondoka ofisi za makao makuu ya CCM mjini Iringa jioni ya leo,akituhumiwa kukutwa akigawa fedha kwa Wanakijiji wa Kitayawa kata ya Luhota,Iringa Vijijini,ambapo Wananchi hao wanatarajiwa kupiga kura kwa ajili ya kumpata Mbunge wa jimbo hilo kesho siku ya jumapiliAbout HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.