Friday, March 21, 2014

MUDA SIO MREFU LEO JIONI JK ATAITIKISA NCHI HUKO DODOMA,CHEKI HAPA ALIVYOKUWA ANAIPITIA HOTUBA YAKE NDANI YA NDEGE KABLA YA KUISOMA LEO


Rais Jakaya Kikwete akiwa ndani ya ndege akisafiri kutoka Dar es Salaam kuelekea Dodoma jana huku akiipitia hotuba yake ambayo ataitoa mbele ya wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba mjini Dodoma leo.

Post a Comment