.

RIDHIWAN AENDELEA NA KAMPENI ZAKE HUKO CHALINZE,PICHA

1Mgombea ubunge wa jimbo la Chalinze Bw. Ridhiwani Kikwete akisalimiana na wananchi baada ya kuwasili katika ya Fukayose jimbo la Chalinze  wakati alipoendelea na mikutano ya kampeni kunania kiti cha ubunge jimbo laKani  hilo, Ridhiwani Kikwete amewaomba wananchi wa kata ya Fukayose kumuamini na kumpa kura za ndiyo siku ya jumapili Aprili 6 na yeye atawalipa maendeleo na watapata nafasi ya kupanga mipango ya maendelea kwa ajili ya mafanikio ya jimbo la Chalinze.
2Mgombea ubunge wa jimbo la Chalinze Bw. Ridhiwani Kikwete akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Mkenge kata ya Fukayose jimbo la Chalinze leo 3Mwenyekiti wa kata ya Fukayose Orinjulie Machanga akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Mkenge wakati wa mkutano wa kampeni za mgombea ubunge wa jimbo la Chalinze Bw. Ridhiwani Kikwete 4Baadhi ya wanachama wa chama cha Mapinduzi wakiwa wameshikilia picha za mgombea ubunge wa jimbo la Chalinze kwa tiketi ya CCM Bw. Ridhiwani Kikwete katika mkutano wa kampeni kijiji cha Mkenge. 5Mgombea ubunge wa jimbo la Chalinze Bw. Ridhiwani Kikwete akisalimiana na wananchi wa kijiji cha Mkenge mara baada ya kumalizika kwa mkutano wa kampeni kijijini hapo. 6Mgombea ubunge wa jimbo la Chalinze Bw. Ridhiwani Kikwete akihani msiba katika moja ya kijiji kwenye kata ya Fukayose. 7Msanii Dokii akitumbuiza katika mkutano wa kampeni uliofanyika kata ya Fukayose leo. 8Katibu wa CCM mkoa wa Kilimanjaro ambaye pia ni meneja wa kampeni wa mgombea ubunge wa jimbo la Chalinze kupitia CCM Bw. Ridhiwani Kikwete akiwahutubia wananchi katika kata ya Fukayose. 9Baadhi ya wananchi waliojitokeza katika mikutano hiyo. c 116Mgombea ubunge wa jimbo la Chalinze Bw. Ridhiwani Kikwete akizungumza na kuwapa pole wafiwa wakati alipohani msiba katika moja ya kijiji kwenye kata ya Fukayose. 12Msanii Hafsa Kazinja akitumbuiza katika moja ya mikutano hiyo ya kampeni iliyofanyika kwenye kata ya Fukayose. 13Askari wa usalama wa raia wakiwa wameimarisha ulinzi katika mkutano huo huku baadhi ya vijana wa kimasai wakifuatilia hotuba za viongozi mbalimbali katika mkutano huo. 14Mmoja wa wazee ambaye jina lake halikufahamika mara moja katika kijiji cha Mtakuja  akiwa ameshikilia kipeperushi chenye picha na maelezo ya mgombea ubunge wa jimbo la Chalinze kupitia CCM Bw. Ridhiwani Kikwete.

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.