.

WAZEE WA YANGA WASITISHA MGOMO WAO MUDA HUU

Habari inaendelea sasa hivi ni kuwa wazee wa club ya yanga muda huu wametangaza kusitisha mgomo ambao walikuwa wameuitisha kuishinikiza manispaa ya ilala kuwasaidia kupata eneo lao la kujenga uwanja la jangwani baada ya kusema kuwa tayari manispaa hiyo imewaahidi kusikiliza maombi hayo,hayo yamesemwa muda huu na mzee akilimali ambaye ni katibu wa baraza la wazee wa yanga.

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.