Sunday, April 13, 2014

BREAKING NEWZZ : HALI TETE BARABARA MOROGORO CHALINZE ENEO RUVU DARAJANI MUDA HUU

Msururu Mkubwa wa Magari barabara ya Chalinze Mlanzidi Eneo la Ruvu Darajani,Hali hii anatokana na Mvua Zinazozidi Kunyesha hali iliyopelekea Maji kujaa na Kukatiza Juu ya Barabara,Kwa usalama magari yote yamesimama kusubiri hali kutengemaa.

No comments: