CHALINZE LIVE---ANGALIA MWONEKANO WA STEND YA CHALINZE MUDA HUU IKIWA KESHO NI UCHAGUZI NA LEO NDIO MWISHO WA KAMPENI
Kama utafanikiwa kupita hapa chalinze stendi kabisa huu ndio mwonekano wake kwa sasa ambapo kila pande kumepambwa na bendera za vyama mbalimbali vya siasa ambayo vinachuana katika uchaguzi mdogo hapo kesho
Kufunga kampeni ni leo ambapo hapa ni katika uwanja uliopo karibu kabisa na stendi ya chalinze ambapo chama cha CHADEMA kitakuwa kinahiyimishia maandalizi yake hapa muda mfupi ujao,endelea kuwa nasi
No comments:
Post a Comment