Wananchi ambao wamekwisha fika katika uwanja huu ambao chadema wanahitimishia kampeni zao leo |
baadhi ya viongozi mbalimbali wa maeneo haya wakiwa wanatoa hutuba za kwanza kwanza kabla ya kumkaribisha katibu mkuu ambaye ndiye anasubiriwa |
Muonekano wa uwanja huu kwa sasa |
maandalizili za vituo yamekamilika kwa kiasi fulani nimepita katika baadhi ya vituo na kukuta tayari majina yamebandikwa na wananchi wanayasoma kwa ajili ya kupigia kura kesho |
mabango ya vyama hasimu yametawala kila kona ya m ji huu kwa sasa |
No comments:
Post a Comment