Saturday, April 5, 2014

CHALINZE LIVE---CCM KUFURU YAFUNGA KAMPENI KWA KISHINDO DK SHEIN MGENI RASMI

Wingi mkubwa wa wafuasi wa ccm wakiwa katika mkutano uliofanyika leo katika viwanja vya shule ya secondary ya kikaro ikiwa ni hitimisho la kampeni za ccm kuhakikisha kuwa ridhiwan anakwenda bungeni
Raisi wa serikali ya zanzibar dk shein akiwasili katika viwanja ambavyo ccm imefunga kampeni zake leo ambapo yeye alikuwa mgeni rasmi katika kampeni hizo leo
Kauli ni moj tuu ccm hoyee ndivyo ilivyokuwa leo hapa chalinze kwa kila chama kuhitimisha kampeni zake kwa kasi ya ajabu sana kila mtu anataka kwenda bungeni haraka iwezekanavyo

No comments: