Muda huu ndio mkutano unamalizika hapa chalinze mjini na huu ndio umati wa watu ambao walikusanyika kumsikiliza katibu mkuu wa chadema DK SLAA alipokuwa anafunga kampeni leo |
mbunge john mnyika alikuwepo na alihutubia wananci ambapo amewataka wananchi kutokufanya makosa katika kuchagua mbunge wao akawataka wampe kura ya ndio mathayo torongey |
peple powerr |
muda huu ndio anaondoka katika uwanja huu |
anasalimiana na wanachama kabla ya kuondoka kwenye kazi nyingine |
No comments:
Post a Comment