.

EXCLUSIVE---PICHA ZA AWALI JINSI MABINGWA WA TANZANIA AZAM WALIVYOPOKELEWA JIJINI DAR ES SALAAM

Mabingwa wapya wa Ligi kuu Tanzania bara msimu wa mwaka 2013/2014 wakitua ktk uwanja wa ndege jijini dar es salaam wakitokea mbeya baada ya kutoa kipigo kwa mbeya city cha magoli mawili kwa moja
Msafara wa mabingwa wa Tanzania Azam FC baada ya kutua kwa ndege wakitokea mkoani Mbeya walikoifunga MCC 2-1

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.