KITUO CHA SHERIA NA HAKI ZA BINADAMU WAZINDUA REPORT YAKE YA HAKI ZA BINADAMU 2013,PICHA ZA TUKIO NZIMA ZIKO HAPA

Mkurugenzi wa kituo cha sheria na haki za binadamu tanzania bi HELLEN KIJO BI SIMBA akizungumza katika uzinduzi wa report ya haki za binadamu tanzania ya mwaka 2013

PASIANCE MLOWE ambaye ni mtafiti kutoka katika kituo cha sheria n haki za binadamu ambaye amehusika katika kuandaa report hii akizungumza yaliyomo ndani ya report hiyo ambapo amebainisha uvunjifu mkubwa hakiza binadamu nchini Tanzania,ikiwemo mauaji ya kikatili kuendelea kushamiri nchini pamoja na watu mbalimbali kukosa haki zao za msingi


Mgeni rasmi ambaye ni mkurugenzi wa upepelezi makosa ya jinai tanzania ISAYA MNGULU ambaye amemwakilisha IGP ERNEST MANGU kizungumza katika uzinduzi huo

Mgeni rasmi ambaye ni mkurugenzi wa upepelezi makosa ya jinai tanzania ISAYA MNGULU ambaye amemwakilisha IGP akikata utepe kuashiria kuzindua rasmi report ya kitabu hicho

Mgeni rasmi katika hafla hiyo ISAYA MNGULU ambaye ni mkurugenzi wa upepelezi  makosa ya jinai akimkabidhi mkuruhenzi wa LHRC kitabu cha report hiyo baada ya kukizindua nrasmi


Washiriki waliohudhuria hafla hiyo fupi ya kuzindua report hiyo makao makuu ya LHRC mapema leo

Muonekano wa report hiyo kwa nje

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.