Monday, April 14, 2014

SIKU TATU ZA MAJANGA TANZANIA---CHEKI AJALI HII ILIYOTOKEA ASUBUHI YA LEO.MUNGU MKUBWA

ajali mbaya sana imetokea leo maeneo ya lugalo ambapo lori limeangukia toyota ndogo maeneo ya makongo karibuna daraja la shoko leo asubuhi katika ajali hiyo hakuna aliyepoteza maisha japo kuwa ndani ya gari alikuwemo mtu na mkewe ila wote wameselimika

No comments: