.

SIKU YA MICHEZO---PICHA ZA JINSI AZAM FC WALIVYOKABIDHIWA MWALI WAO HUKO CHAMANZI ZIKO HAPA

Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) akimkabidhi Kombe la ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Nahodha wa Azam FC, John Bocco jioni hii baada ya kuifunga bao 1-0 JKT Ruvu Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam.PICHA ZOTE KWA HISANI YA BIN ZUBEIR BLOG
Mabingwa wakisherehekea na taji lao, sherehe za ubingwa zinaanza sasa Complex hadi usiku wa manane
Mwenye timu; Mmoja wa Wakurugenzi wa Azam FC, Yussuf Bakhresa akifuarhia Uwanja wa Azam Complex leo
Watoto Said kulia na Idha kushoto wakiwa Uwanja wa Azam Complex

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.