Sunday, April 20, 2014

TAARIFA YA MSIBA MWIGINE TANZANIA

Mkuu wa wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa,Mh.Moshi Mussa Chang'a amefariki dunia katika hospitali ya taifa ya Muhimbili alipokuwa akipatiwa matibabu ya ugonjwa wa shinikizo la damu na kisukari.

No comments: