.

BALOZI WA UINGEREZA NCHINI, AMTEMBELEA WAZIRI CHIKAWE OFISINI KWAKE JIJINI DAR ES SALAAM LEO

PIX 1 (5)Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kulia) akizungumza na Naibu Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, Penny Smith (katikati) masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya nchi yake na Tanzania. Kushoto ni Mshauri wa Haki Jinai, Ubalozi wa Uingerzea nchini, Lindsey McNally. Mazungumzo hayo yalifanyika katika ofisi ya Waziri Chikawe, Barabara ya Ohio, jijini Dar es Salaam leo.  Picha na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi. 
PIX 2 (4)Naibu Balozi wa Uingereza nchini, Penny Smith (katikati) akimfafanulia jambo Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kulia) masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya nchi yake na Tanzania. Kushoto ni Mshauri wa Haki Jinai, Ubalozi wa Uingereza nchini, Lindsey McNally. Mazungumzo hayo yalifanyika katika ofisi ya Waziri Chikawe, Barabara ya Ohio, jijini Dar es Salaam leo.  Picha na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi. 
PIX 3 (4) Mshauri wa Haki Jinai, Ubalozi wa Uingereza nchini, Lindsey McNally (kushoto) akimfafanulia jambo Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kulia) kuhusiana na masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya nchi yake na Tanzania. Katikati ni Naibu Balozi wa Uingereza nchini, Penny Smith. Mazungumzo hayo yalifanyika katika ofisi ya Waziri Chikawe, Barabara ya Ohio, jijini Dar es Salaam leo.  Picha na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
PIX 4 (2)
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (wapili kushoto), Naibu Balozi wa Uingereza nchini, Penny Smith (wapili kulia), Mshauri wa Haki Jinai, Ubalozi wa Uingereza nchini, Lindsey McNally (kushoto) na Kamishna wa Pasipoti na Uraia, wa Idara ya Uhamiaji, Victoria Lembeli wakiwa katika picha ya pamoja baada ya mazungumzo marefu yaliyofanyika katika ofisi ya Waziri Chikawe, Barabara ya Ohio, jijini Dar es Salaam leo. Picha na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
PICHA ZOTE NA KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI
WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI.

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.