Thursday, May 1, 2014

MAADHIMISHO YA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI YAFANYIKA ZANZIBAR

DSC_0025  
Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohd Shein kushoto anaepunga mkono akiyapokea maandamano ya Wafanyakazi wa Sekta mbalimbali katika Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (May Day) yaliofanyika Hoteli ya Bwawani Mjini Zanzibar.DSC_0033DSC_0034 Mashirika mbalimbali yakipita mbele ya Mgeni Rasmi hayupo pichani katika Maadhimisho ya siku ya Wafanyakazi Duniani (May Day) yaliofanyika Hoteli ya Bwawani Mjini Zanzibar.
DSC_0076Baadhi ya Mawaziri pamoja na Wananchi waliohudhuria katika Maadhimishi ya siku ya Wafanyakazi Duniani(May Day)wakiwa ndani ya Ukumbi wa Salama Holl Hoteli ya Bwawani mjini Zanzibar.
DSC_0097 
Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohd Shein watatu kulia akishikana mikono pamoja na Viongozi mbalimbali wakiimba wimbo wa Mshikamano kwa wafanyakazi ndani ya Ukumbi wa Salama Holl Bwawani Hotel mjini Zanzibar ikiwa ni Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (May Day). 
PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR

No comments: