Saturday, May 24, 2014

NGOMA DAKIKA 120, REAL MADRID YAICHAPA ATLETICO MADRID 4-1 NA KUTWAA `DEBE` LA 10 LA UEFA, BALE NI KIBOKO, APIGA BAO MUHIMU MNO

Uplifting: Ronaldo gets his hands on the trophy in Lisbon after Real's extra time victory
 Ronaldo akinyanyua kombe mjini  Lisbon baada ya  Real kushinda dakika za nyongeza
Dream duo: The £166m partnership of Ronaldo and Bale enjoy Real's victory at the Stadium of Light
 Ronaldo na Bale  wakifurahia ushindi wa Real Madrid
Landmark: Real Madrid's players celebrate their 10th European Cup triumph
Wachezaji wa  Real Madrid wakishangilia ubingwa wao wa 10
HATIMAYE Gareth Bale ameisaidia Real Madrid kutumiza ndoto za `La Decima` baada ya kutwaa ndoo ya 10 ya UEFA kufuatia ushindi wa dakika za nyongeza katika mchezo wa fainali dhidi ya majirani zao Atletico Madrid. Alizaliwa Wales, alikulia Southampton na kung`ara Tottenham, nyota huyo mwenye miaka 24 ameendelea kuonesha kuwa Real Madrid hawakukosea kumsajili kwa rekodi ya dunia baada ya kufunga bao ambalo limeandikwa katika historia ya klabu.
Post a Comment