WAJASIRIAMALI WALEMAVU WAFUNGA BARABARA DAR

10 (2)

KUNDI la walemavu, wajasiriamali na  wafanyabiashara ndogo ndongo, leo May 20, 2014 wamefunga makutano ya barabara ya Kawawa na Uhuru (Karume) kwa muda wa saa tatu wakishinikiza Serikali iwapatie maeneo ya kufanyia biashara baada ya kuwaondoa katika eneo la Mtaa wa Kongo Kariakoo jijini Dar es Salaam.

2 (17)

1 (17)9 (1)3 (10) 6 (4)

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.