Wednesday, July 23, 2014

HUYU HAPA AFISA USALAMA FEKI ALIYEDAKWA LEO

Kijana
aliyetambulika kwa jina la Musa Mbeko(24) anayedaiwa kuwa ni mwandishi wa habari mkoani Tabora akiwa mikononi mwa Jeshi la Polisi mkoani humo
baada ya kujifanya kuwa ni afisa kutoka idara ya usalama wa taifa
(TISS).kijana huyo inadaiwa aliwahi kufanya kazi kituo cha radio cha
Voice of Tabora (VOT) kinachomilikiwa na mbunge wa Jimbo la Tabora
mjini,Ismail Rage,hata hivyo Uongozi wa VOT umekana kijana huyo kuwa ni
mwandishi wao na kwamba ulikwisha mfukuza kutokana na makosa mbalimbali
yakiwemo ya Utapeli
Kamanda
wa Polisi mkoa wa Tabora ACP Suzan Kaganda akiwaonesha waandishi wa
habari kitambulisho kilichokuwa kikitumiwa na Mussa Mbeko akijifanya ni
Afisa Usalama wa Taifa.
Kitamburisho alichokuwa akitumia kijana Musa Mbeko. 
Kijana Musa Mbeko akiwa chini ya Ulinzi mkali wa Polisi.

No comments: