.

PICHA ZOTE ZA UCHAGUZI WA CHADEMA ARUSHA MJINI ZIKO HAPAHuu ndio Uongozi  mpya wa Arusha Mjini ulio Chaguliwa


Mh Freeman Mbowe akimkabidhi Katibu (Arusha Mjini) aliye maliza muda wake ndugu Martine  Sarungi cheti cha Pongezi kwa kufanikisha Programu ya CHADEMA MSINGI


Katibu wa Kanda Ndugu Amani Golugwa akiwaelekeza wajumbe wa mkutano mkuu taratibu na kanuni za Uchaguzi


Mh Freeman Mbowe akimkabidhi Jenipher Kauseria  cheti cha Pongezi kwa kufanikisha Programu ya CHADEMA MSINGI


Mh Freeman Mbowe akimkabidhi Francis Chuma  cheti cha Pongezi na kofia  kwa kufanikisha Programu ya CHADEMA MSINGI


Mh Freeman Mbowe akiongea na wajumbe wa mkutano mkuu wa Jimbo la Arusha Mjini,amewaeleza umuhimu wa kufanya uchaguzi sahihi wa viongozi wa ngazi ya Jimbo


Wajumbe wa mkutano mkuu wa Arusha  Mjini


Mwenyekiti Mpya wa Arusha Mjini MAGOMA DERICK MAGOMA  Akishangilia ushindi alioupata katika uchaguzi wa kidemokrasia


Mwenyekiti Mpya wa Arusha Mjini MAGOMA DERICK MAGOMA  Akishangilia ushindi alioupata katika uchaguzi wa kidemokrasia

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.