Monday, September 15, 2014

BREAKING NEWZZZ-- MRITHI WA ZITTO KABWE APATIKANA CHADEMA MUDA HUU,HUYU HAPA


DK SLAA,SALUM MWALIM PAMOJA NA JOHN MNYIKA 
Uchaguzi ndani ya chama cha Democrasia na maendeleo CHADEMA leo usiku huu umefikia tamati kwa kamati kuu ya chama hicho kupata viongozi wake wamwisho ambao ni KATIBU MKUU ,NAIBU KATIBU MKUU BARA pamoja na NAIBU KATIBU MKUU ZANZIBAR
MATOKEO----

KATIBU MKUU --DK WILLBROD SLAA--
NAIBU KATIBU MKUU BARA---JOHN MNYIKA
NAIBU KATIBU MKUU ZANZIBAR--SALUM MWALIM
viongozi awa waliteuliwa na mwenyekiti wa chama hicho kama katiba inavyosema na hatimaye baraza kuu likawapitisha wote bila kuwapinga
mh JOHN MNYIKA anateuliwa kushika nafasi ambayo ilikuwa inashikiliwa na mbunge wa jimbo la kigoma kaskazini mh ZITTO KABWE ambaye aliondolewa katika nafasi hiyo na kamati kuu ya chama kwa kile ambacho kilisemekana kuvunja katiba ya chama hicho
FAIDI PICHA ZA USHINDI HAPO CHINI


SAMAHANI PICHA HIZI ZINA MATATIZO YA MUONEKANO ILA ASANTENI KWA KUTUFWATILIA HAPA


No comments: