.

FAIDI PICHA ZAIDI YA 20 NDANI YA MKUTANO MKUU WA CHADEMA LEO HAPA MLIMAN CITY

Gari ya mwenyekiti wa CHADEMA mh MBOWE ikiwasili katika ukumbi wa mkutano mkuu wa chama hichoambao unafanyika hapa mlimani city muda huuShekh Rajab Katimba mwenyekiti wa jumuiya ya taasisi za kiisalam Tanzania akiwa katika mkutano huo


MH MANGULA makamu mwenyekiti wa CCM ambaye alimwakilisha mwenyekiti wa ccm MH JAKAYA MRISHO KIKWETE katika mkutano huo.

Wawakilishi wa taifa la china wakiwa katika mkutano huo

DuaMuasisi wa CHADEMA mzee EDWIN MTEI alikuwepo katika mkutano huo
Wawakilishi wa mataifa mbalimbali kama DERMAC,NA UINGEREZA

Mke wa katibu mkuu wa chadema pamoja na mke wa mwanasheria mkuu wa CHADEMA TUNDU LISU

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.