Friday, September 5, 2014

michezo--HII NDIO TAARIFA ILIYOTOKA YANGA LEO

big bullets
Kocha Mkuu wa Young Africans Marcio Maximo (kushoto) akiongea na waandishi wa habari juu ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Big Bullets kutoka Malawi siku ya jumapili, kulia ni Afisa Habari wa timu hiyo Bw Baraka Kizuguto

TIMU ya Young Africans itashuka dimba la Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam siku ya jumapili kucheza mchezo wake wa mwisho wa kirafiki wa kimataifa dhidi ya timu ya Big Bullets FC (zamani Bata Bullets) inayoshiriki Ligi Kuu ya TNM nchini Malawi.

No comments: