.

PICHA ZA MATUKIO YA AWALI UCHAGUZI WA BAVICHA HAPA MLIMAN CITYMwenyekiti wa Chadema Taifa Mh Freeman Mbowe na Mwenyekiti wa Vijana Mh John Heche wakiwasili eneo la Ukumbi Unakofanyikia Mkutano huo ambao utahitimishwa kwa kumchagua Mwenyekiti Mpya wa kuongoza Baraza la Vijana chadema sambamba na Viongozi wengine wa Baraza hilo.


About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.