Wednesday, September 10, 2014

RAIS MUSEVENI YUPO NCHINI SIKU MOJA

D92A9384
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na Rais Yoweri Museveni wa Uganda wakikagua ngoima za utamaduni.
D92A9373
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mgeni wake Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda wakikagua gwaride la Heshima lililoandaliwa na jeshi la Wananchi wa Tanzania.
D92A9334
Rais Dkt.Jakaya Mrisho kikwete akimtambulisha kwa Rais Museveni Mkuu wa Majeshi ya Tanzania Jenerali Davies Mwamunyange muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere kwa ziara ya kikazi ya siku moja.Kushoto ni Inspekta Jenerali wa Polisi Ernest Mangu.
D92A9329
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere kwa ziara ya kikazi ya siku moja.
D92A9445Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha ikulu jijini Dar es Salaam Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda na kufanya naye mazungumzo.Rais Museveni yupo nchini Tanzania kwa ziara ya kikazi ya siku moja(picha na Freddy Maro)Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha ikulu jijini Dar es Salaam Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda na kufanya naye mazungumzo.Rais Museveni yupo nchini Tanzania kwa ziara ya kikazi ya siku moja(picha na Freddy Maro

No comments: