Mfanyabiashara Ally Hamidu Ally (kulia) ambaye hivi karibuni ametiwa mbaroni na Idara ya Uhamiaji kwa tuhuma za kuwaingiza nchini kinyemela makomandoo wa Nepali akiwa chini ya ulinzi katika Ofisi ya Uhamiaji Mkoa wa Dar es Salaam baada ya kukamatwa eneo la Sinza. Kushoto ni mwanajeshi wa zamani wa Marekani ambaye pia anashikiliwa Uhamiaji.
No comments:
Post a Comment