Monday, October 13, 2014

FAIDI PICHA 10 ZA WAFANYAKAZI WA TIGO WALIVYOSHIRIKI MATEMBEZI YA KUCHANGIA FEDHA KWA AJILI YA SARATANI YA MATITI JIJINI DAR ES SALAAM


Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid akisalimiana na Meneja wa huduma zaJamii wakampuni ya simu yaTigo, WoindeShisael (kulia) kabla ya kuanza kwa matembezi ya kuchangia fedha kwa ajili ya Saratani ya matit ijijini Dar es Salam jana ya liyodhaminiwa na kampuni hiyo. Wanaoshuhudiani Kaimu Mkurugenzi wa Taasisi yasaratani ya Ocean Road, Diwani Msemwa (kushoto kwake) na Mkurugenzi wa Wellworth Tanzania, Saul Basckin


Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid (watatukushoto) akiongoza matembezi ya kuchangia fedha kwa ajili ya Saratani ya matiti jijini Dar es Salam jana yaliyodhaminiwa na kampuni ya simu yaTigo. Kulia ni Meneja wahuduma za Jamii wa kampuni ya simu  ya Tigo, Woinde Shisael na Kaimu Mkurugenzi wa Taasisi ya saratani ya Ocean Road, DiwaniMsemwa (kushoto kwa waziri)

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii ,Dk. Seif Rashid akiongea na watu waliohudhuria matembezi yahisani ya kuchangia fedha kwaajili ya saratani yamatiti  Kunduchi  Beach Hotel jana.

Wafanyakazi wa kampuni ya Simu za mkononi Tigo wakipozi kwenye picha ya pamoja baada ya matembezi ya kuchangia fedha kwa ajili ya Saratani ya matiti jijini Dar es Salam jana


Meneja wa huduma za Jamii wa kampuni ya simu yaTigo, Woinde Shisael akiongea na watu waliohudhuria matembezi ya hisani ya kuchangia fedha kwaajili ya saratani ya matiti Kunduchi Beach Hotel jana.

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid akifanya mazoezi kabla ya kuanza matembezi ya kuchangia fedha kwa ajili ya Saratani ya matiti jijini Dar es Salam jana, Matembezi hayo yaliyodhaminiwa na kampuni ya simu yaTigo

No comments: