Thursday, October 9, 2014

KUTOKA KENYA LEO,RAIS KENYATA AWASILI NCHINI KWAKE NA NDEGE YA ABIRIA KAMA RAIA WA KAWAIDA,AKITOKEA UHOLANZI KWENYE KESI YAKE

Rais wa kenya UHURU KENYATA leo asubuhi amewasili nchini kenya akiwa kwenye ndege ya abiria wa kawaida ya KENYA AIRWAYS akitokea nchini uholanzi kusikiliza kesi ambayo inamkabili .Rais huyo alikabidhi madaraka yake kwa msaidizi wake na kuwa raia wa kawaida kwenda kusikiliza kesi katika mahakama ya kimataifa ya nchini uholanzi ambapo pia wakati anaenda alikwenda kwa ndege ya abiria wa kawaida.


No comments: