Saturday, October 4, 2014

PICHA 17-HAYA NDIO MAANDAMANO YA BAWACHA YALIYOSABABISHA HALIMA MDEE KUKAMATWA NA POLISI JIJINI DAR


Mwenyekiti  wa bawacha ambaye pia ni mbunge wa jimbo la kawe kupitia chadema Halima Mdee akiwa katika maandamano akiwaongoza wanawake wenzake kuelekea ikulu kumpelekea ujumbe Rais Jakaya Kikwete kuhusu asikubali kuweka saini Rasim mpya iliyopitishwa juzi mjini dodoma maandamano hayo kabla hayajafika mbali walitawanywa na jeshi la polisi lililotumia maji ya washawasha pamoja na kupigwa kwa waandamanaji na kuishi mwenyekiti huyo Halima Mdee pamoja na wafuasi wake kukamatwa na kupelekwa polisi Osterbay leo

polisi  wakipambana na Halima mdee kumuingiza kwenye gari la polisi leo

wakina mama wa chadema wakimueleza polisi madai yao wakiwa nje ya kituo cha polisi cha osterbay wakidai kwenda kwa wanahusika kunto Nwenyekiti wao Halima Mndee

wafuasi wa chadema wakilalamika  kwa polisi


wafuasi wa chadema wakimzozea polisi  wakitaka kumuona mkuu wa kituo cha polisi cha osterbay




Halima mdee akiwa katika gari la polisi

Halima mdee akizozana  na polisi mara baada ya kuingizwa kwenyegari

halima na wafuasi wengine wakiwa katika gari la polisi wakipelekwa polisi

Halima mdee akiwa katika gari la polisi

Halima Mdee akiwa ndani ya gari la polisi akipelekwa katika kituo cha polisi cha osterbay

Mfuasi wa chadema bawacha akishikiliwa na polkisi akipelekwa katika gari


kituo cha polisi cha osterbay kilikuwa chini ya ulinzi hakuna mtu kuingia leo

polisi wa osterbay wakizuia gari kupitia 

wakina mama wa chadema wakifika katika eneo la polisi osterbay

viongozi wa chadema wakiomba kuruhusiwa kupita polisi ya osterbay





wafuasi chadema na polisi

No comments: