Tuesday, October 7, 2014

SHORT SRORY--HALIMA MDEE APANDISHWA MAHAKAMANI

Mbunge wa Kawe Halima Mdee leo asubuhi amefikishwa Mahakama ya Kisutu baada ya kukamatwa jumamosi iliyopita akiongoza maandamano ya kwenda Ikulu kupinga Katiba iliyopendekezwa na Bunge Maalumu la Katiba.

No comments: