HABARI KUBWA--MATOKEO YA DARASA LA SABA YAPO HAPA,WENGI WAFAULU
DK. CHARLES E. MSONDE
AKITANGAZA MATOKEO YA DARASA LA SABA MAPEMA HII LEO OFISINI
KWAKE,MSONDA AMESEMA MATOKEO YA MWAKA HUU UFAURU WAKE NI MKUBWA
UKILINGANISHA NA YA MWAKA JANA
Matokeo ya Darasa la 7 kwa mwaka 2014 yametangazwa na Baraza la
Mitihani Tanzania Necta ambapo katika matokeo hayo ya mwaka huu
yanaonyesha Kiwango cha ufaulu kupanda kwa asilimia 56.99 Tofauti na
ufaulu wa mwaka jana ambao ulikuwa Asilimia 51.6 Huku mkoa wa Dar es
Salaam ukiongoza.
No comments:
Post a Comment