.

HISTORIA ALIYOIWEKA MBOWE HUKO MOROGORO HII HAPA

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akiwahutubia maelfu ya wananchi wa mji wa Mtibwa katika jimbo la Mvomero mkoani Morogoro, katika mkutano wa hadhara wa Operesheni Delete CCM 

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akiwahutubia wanachi wa kijiji cha Nyandila kilichopo juu ya milima ya Uruguru mkoani Morogoro, katika mkutano wa hadhara wa Oparesheni Delete CCMMwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akilakiwa na wanachi wa mji wa Gairo mkoani Morgoro baada ya kuwasili, ambako alifanya mkutano wa hadhara wa Oparesheni Delete CCM


About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.