.

BREAKING NEWZZ--JENGO LA MACHINGA COMPLEX LINAUNGUA


Habari zilizotufikia hivi punde kutoka jijini Dar es salaam zinasema kuwa jengo la wafanyabiashara ndogo ndogo (Machinga Complex) lililopo jijini humo linawaka moto muda huu.

Tunaarifiwa kuwa juhudi za kuuzima zinaendelea.

Tutawaletea taarifa zaidi..

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.