Naibu Katibu Mkuu wa Chadema Zanzibar Salum Mwalim akihutubia wakazi wa
Mji wa Kyela katika mkutano wa hadhara uliofanyika viwanja vya siasa
mjini humo . Naibu yuko katika ziara ya siku sita Mkoani Mbeya
kukagua maandalizi ya chama kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa
Disemba. |
No comments:
Post a Comment