MBOWE HUKO MOROGORO SIKU YA PILI ILIKUA HIVI

Mwenyekii wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akiwahutubia maelfu ya wakazi wa kijiji cha Mang'ula wilayani Kilombero mkoani Morogoro, katika mkutano wa Oparesheni Delete CCM, uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Mwaya 


Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akisndikizwa na wanachama na wapenzi wa chama hicho, baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara wa Oparesheni Delete CCM, uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Mwaya


 

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.