.

ALICHOKIFANYA WAZIRI MKUU BUNGENI LEO

PG4A0319
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akitoa kauli kuhusu mgogoro wa wakulima na wafugaji wilayani Kiteto , Bungeni mjini Dodoma Novembe 17, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PG4A0421Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akizungumza na Waziri wa Fedha,Saada Mkuya (kulia) na Naibu wake, Mwigulu Lameck Nchemba kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Novemba 17, 2014. (Picha na  Ofisi ya Waziri Mkuu)
PG4A0476
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wanafunzi wa shule ya rwekiza ya Bukoba Vijijini kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Novemba 17, 2014. Kulia kwake ni Mbunge wa Bukoba Vijijini na mmiliki wa Shule hiyo, Jasson Rwekiza. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.