.

PICHA--KUNDI LA ORIGINO KOMED WAACHA HISTORIA KWENYE TAMASHA LA TIGO WELCOME PACK HUKO MWANZA

Msanii Young Killer akitoa shoo kwa mashabiki waliofurika kwenye tamasha la Tigo Welcome Pack lililofanyika uwanja wa ccm Kirumba Mwanza juzi, kampeni ya welcome pack inawawezesha wateja wa Tigo kujua huduma mbalimbali zitolewazo na kampuni ya Tigo.
.Wasanii wa kundi la Original Komedi wakitoa burudani kwenye tamasha la Tigo Welcome Pack lililofanyika uwanja wa ccm Kirumba Mwanza juzi,
kampeni ya welcome pack inawawezesha wateja wa Tigo kujua huduma mbalimbali zitolewazo na kampuni ya Tigo
Mwana HipHop Hamisi Mwinyijuma maarufu MwanaFA akiwaburudisha mashabiki waliofurika kwenye tamasha la Tigo Welcome Pack lililofanyika uwanja wa ccm Kirumba Mwanza juzi, kampeni ya welcome pack inawawezesha wateja wa Tigo kujua huduma mbalimbali zitolewazo na kampuni ya Tigo.

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.