Monday, November 10, 2014

PICHA YA MBUNGE ALIYEANGUKA GHAFLA BUNGENI LEO

Mbunge wa Mbeya Vijijini Mh.Mchungaji Luckson Mwanjale akiwa amebebwa na wahudumu wa afya baada ya kudondoka ndani ya Jengo la Ukumbi wa Buge leo mchana.Chango cha kuanguka kwake huko bado hakijafahamika na sasa huko kwenye uangalizi wa madaktari kwa uchunguzi zaidi.

No comments: