Tuesday, November 11, 2014

TUKIO KUBWA DAR--KUELEKEA UCHAGUZI TANZANIA BLOGGERS WAKUTANISHWA NA TCRA KUJIPANGA KWA UCHAGUZI


Kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu Tanzania mamlaka ya mawasiliano tanzania TCRA leo imewakutanisha wamiliki wa mitandao ya kijamii BLOGGERS kwa lengo la kuwapa semina elekezi jinsi ya kuripot habari za uchaguzi na miiko yake.
Semina hiyo inafanyika hapa jijini dar es salaam muda huu na wamiliki za blog zaidi ya mia moja kutoka maeneo mbalimbal nchini wamekutana hapa,hapa nimekuwekea baadhi ya picha za tukio hilo hapa
Mkurugenzi mkuu wa TCRA bwana JOHN NKOMA akizungumza na blogger wa Tanzania waka ti wa ufunguzi wa semina hiyo hapa katika ukumbi wa mlimani city jijini Dar es salaam
Mkurugenzi wa mtandao huu EXAUD MTEI MSAKA HABARI naye ni miongoni wa washiriki wa semina hiyo hapa akiwa anaifanya kazi yake







Waandishi mbalimbali wa BLOG wakichangia mada hapa





No comments: