.

TANGAZO KUTOKA TFF

index17
Uuzaji mchanganyiko wa tiketi zaelektroniki kwenye Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) utakoma baada ya mechi mbili za wikiendi hii kati ya Yanga na Mgambo Shooting na Simba na Ruvu Shooting zitakazochezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Ligi itasimama kupisha mechi ya Kalenda ya FIFA, mashindano ya Chalenji na dirisha dogo la usajili. Baada ya hapo tiketi zote zitauzwa kwa njia ya mtandao, hivyo hakutakuwepo na vibanda vya kuuza tiketi viwanjani.

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.