ZITTO KABWE AWA GUMZO MITANDAONI,TIZAMA MAKADA WA CHADEMA WANAOMPONGEZA KWA KAZI ANAYOIFANYA


Mhe  Zitto   kabwe

kauli  ya  kwanza  inatoka  kwa  kada  huyu
On you both Zitto Kabwe and Deo Filikunjombe we trust lets we make it different we are behind you.
Naunga mkono kampeni yeyote inayolenga kuwaibua wabadhirifu na wezi wa mali ya Umma na uwajibikaji ufuate. Matumaini yangu ni kwamba haki itatendeka na ukweli utajulikana.
Sakata hili la Escrow limetugharimu na linaendelea kutugharimu kama Taifa ambalo bado budget yetu inategemea wafadhili kwa ajili ya miradi ya maendeleo, tuseme hapana kwenye hili na tuwakatae wote walioko nyuma ya sakata hili ni maadui wakubwa mno kwenye Taifa letu.
      

kauli  ya  pili  inatoka  kwa  kada  huyu  maarufu   wa  chadema.

Naitakia kamati ya PAC kila la kheri katika kuchambua na kuhoji kila aliyetajwa katika Ripoti ya CAG kuhusu ukwapuaji wa Mabilioni kutoka akaunti ya ESCROW
Kampeni yetu ya "IPTL-BRING BACK OUR MONEY" imepata ushindi Mwingine
Wale wote wanaohoji iweje tuungane na Zitto na Kafulila katika mapambano haya wanalengo moja tu,Divide and rule.
Wanataka kutumia mwanya fulani kufifisha vita hii
Inafurahisha sana Gazeti la Serikali la Habari Leo Wiki iliyopita kuchapisha makala za kuonyesha mashaka juu ya nguvu na ushirikiano wa ghafla kwenye suala hili
Nimejiuliza ni lini Gazeti la Habari Leo liliwahi kuwa na uchungu au nia njema na Upinzani hadi litilie mashaka ushirikiano wetu na akina Zitto na Kafulila kwenye suala hili
Wanafanya kazi ile ile tuliyosema,Ya kupotosha.
Kampeni hii inaratibiwa na kundi kubwa bila kujali itikadi zetu
Najua tupo katika vita kubwa sana na adui atatumia kila mbinu ili apumue.Tutashinda
Kamwe hatutayumba katika vita hii hadi tone la Mwisho
Katika vita hii sina adui wala rafiki wa kudumu bali ajenda ya kudumu,Maslahi ya Tanzania.
"
 
If you fight indignation at every injustice then you are a comrade of mine-Mwanamapinduzi Che Guevara.
PAC nawatakia kila la Heri,Hongereni washirika wote katika vita hii
Aluta continua,Victory Ascerta...!

KAULI  YA  TATU  INATOKA  KWA  MWANDISHI   WA  HABARI
naona kampen ya kumchafua Zitto Kabwe kwenye ishu ya ‪#‎IPTL‬imefanikiwa na kukubalika na baadhi ya wanachama waandamizi wa chadema...tuache siasa tumsapoti zitto hata kama tunamsema ila anapigania taifa tujiulize wapi waziri wetu kivuli wa nishati na madini John J. Mnyika Ubunge-Ubungo, 2010 au yeye kazi yake ni wakati wa bajeti tuuuu #26 ‪#‎IPTL_Br
KAULI   YA  NNE  KUTOKA  KWA  KADA  WA  CHADEMA
Now Zitto, you have to prove us wrong!!!
Our money is in your hands, am just counting days, it's day one.
Kuwajibshwa mawaziri hakutoshi, we have to go beyond that.
Plz IPTL bring back our money

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.