Wednesday, December 24, 2014

KICHEKESHO CHA ESCROW KUTOKA KWA MBUNGE NASSARI


KATIKA UKURASA WA MBUNGE WA ARUMERU WA FACEBOOK HICHO NDICHO ALICHOPOST  NA KUWEKA PICHA HII
Liked · 6 hrs ·
Hii inatokea Tanzania tu. Sakata la ufisadi kwenye umeme, Waziri waziri wa Ardhi anaondoka lakini waziri wa Nishati bado yupo. Hii inatokea Tanzania tu. Sakata la ufisadi kwenye umeme, Waziri waziri wa Ardhi anaondoka lakini waziri wa Nishati bado yupo.

No comments: