ACT WAZIDI KUUBOMOA UPINZANI WA TANZANIA,MWANACHAMA MAARUFU WA TLP AJIUNGA NAO LEO

http://2.bp.blogspot.com/-9we2teUbWpg/VLOtF_CTljI/AAAAAAAG81c/hGzhhDPKpWc/s1600/DSC_0224.JPG
Aliyekuwa Mwanachama wa TLP ,Ahmad Tao akipokea kadi mpya uanachama wa ACT katika
http://3.bp.blogspot.com/-YKLW5eU0PXs/VLOtGp_lCLI/AAAAAAAG81k/CTLpNSOXQZA/s1600/DSC_0228.JPG
Aliyekuwa Mwanachama wa TLP ,Ahmad Tao akionyesha kadi mpya uanachama wa ACT katika kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama  hicho kilichofanyika leo katika ukumbi wa hoteli ya Kagame jijini Dar es Salaam.

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.