.

PICHA ILIYOFUNGA MWAKA NI HII,DK SLAA MAOMBEZI


Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima (kushoto), wachungaji wa kanisa hilo na viongozi wengine wa ngazi ya juu, wakimwombea Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willbrod Slaa (katikati) na mkewe Josephine Mushumbuzi ili aweze kufanikiwa katika harakati zake za Uchaguzi Mkuu utakaofanyika baadaye mwaka huu, wakati wa ibada ya kuukaribisha Mwaka Mpya, iliyofanyika kwenye viwanja vya kanisa hilo Kawe, Dar es Salaam, usiku wa kuamkia jana

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.