Thursday, January 15, 2015
TIZAMA ZIARA YA KINANA HUKO ZANZIBAR MKOA WA MAGHARIBI
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mh. Shamsi Vuai Nahodha mlezi wa Mkoa wa Magharibi na Mbunge wa jimbo jimbo la Mwanakwerekwe wakati alipowasili katika wilaya Amani akiendelea na ziara yake katika visiwa vya Unguja na Pemba Zanzibar ,Kinana yuko katika ziara ya siku 15 katika visiwa hivyo akikagua utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010 na kuhimiza uhai wa chama, NEC CCM Itikadi na Uenezi
Mh. Shamsi Vuai Nahodha mlezi wa Mkoa wa Magharibi na Mbunge wa jimbo la Mwanakwerekwe akiongozana na Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi mara baada ya msafara wa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana kuwasili mkoa wa Magharibi.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana
wana CCM na wananchi mbalimbali mara baada ya kuwasili katika mkoa wa Magharibi.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiangalia kikundi cha ngoma
Kikundi cha Ngoma kikiendelea na Burudani.
Baadhi ya wanafunzi wa chuo cha Mwenge Comunity Centre kilichopo wilaya ya Amani
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wanafunzi wa chuo cha MCC.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana
na mbunge wa jimbo la Mpendae Salum Turki.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akikata utepe kuzindua ofisi ya CCM Mpendae Bondeni.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment