Wednesday, February 11, 2015

MH MAKAMBA AANZA KUWATUMIA WASANII KUUSAKA URAIS WA TANZANIA,TIZAMA HII

Katika kuashiria kuwa amedhamiria kabisa kugombea urais wa tanzania mbunge wa jimbo la BUMBULI mh JANUARY MAKAMBA sasa ameonyesha nia hiyo baada ya kanza kuwatumia wasanii maarufu wa mziki wa kizazi kipya BONGO FLEVA kumpiggia kampeni za chini chini ili kufanyikisha lengo lake hilo.   
 
Mtandao huu umekutana na picha hzi katika mitandao mbalimbali zikienea kwa kasi ambazo waanii kadhaa wa muziki wameshika moja ya kitabu chake na kuandika maneno ya kumtakia kheri katika kupigania nafasi ya urais wa Tanzania.

Mh MAKAMBA ni mmoja ya wanachama wa CCM ambao tayari wameshapigwa stop kujihusisha na mambo ya kampeni hadi hapo watakaporuhusiwa baada ya kuonekana wanaanza mapema sana tofautio na utaratibu wa chama chake



No comments: