Wednesday, February 4, 2015

TIZAMA ZIARA NZIMA YA RAIS WA UJERUMAN NCHINI TANZANIA HAPA

unnamedc1Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete(wa pili kutoka kulia) na mgeni wake Rais wa Shirikisho la Ujerumani, Joachim Gauck (wa tatu kutoka kulia) wakifurahia wakati wa dhifa ya kitaifa ya chakula cha usiku aliyomwandalia  kiongozi  huyo jana usiku, Ikulu jijini Dar es salaam. Kushoto ni Mke wa Rais wa Tanzania, mama Salma Kikwete na Mke wa Rais wa Ujerumani Bi. Daniella Schadt.unnamedc2Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete(wa pili kutoka kulia) akiwa na mgeni wake Rais wa Shirikisho la Ujerumani, Joachim Gauck (wa tatu kutoka kulia) wakiwa wamesimama wakati wimbo taifa wa Tanzania na ujerumani ulipopigwa wakati wa dhifa ya kitaifa ya chakula cha usiku aliyomwandalia  kiongozi  huyo jana usiku, Ikulu jijini Dar es salaam. Kushoto ni Mke wa Rais wa Tanzania, mama Salma Kikwete na Mke wa Rais wa Ujerumani Bi. Daniella Schadt.unnamedc3Baadhi ya viongozi mbalimbali wa Serikali waliohudhuria dhifa hiyo jana usiku, Ikulu jijini Dar es salaam.unnamedc4Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Askofu Gehazi Malasusa (wa pili kutoka kushoto) na viongozi wengine wa Serikali wakiwa kwenye dhifa ya kitaifa ya chakula cha usiku aliyoandaliwa Rais wa Ujerumani Joachim Schadt na Rais Jakaya Kikwete jana usiku jijini Dar es salaam.unnamedc5Rais wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete na mgeni wake Rais wa Shirikisho la Ujerumani Mh. Joachim Gauck wakielekea sehemu ya nyuma ya ukumbi kutazama Brass bendi ya Jeshi la Polisi iliyokuwa ikitoa burudani wakati wa dhifa ya kitaifa ya chakula cha usiku aliyomuandalia mgeni wake jana usiku Ikulu jijini Dar es salaam.
unnamedc7Rais wa Shirikisho la Ujerumani Mh. Joachim Gauck akitoa ujumbe wake kwa wageni mbalimbali waliohudhuria dhifa ya kitaifa iliyoandaliwa na Rais Jakaya Kikwete Ikulu.unnamedc9Rais wa Ujerumani Mh. Joachim Gauck na Rais Jakaya Kikwete wa Tanzania wakitazama vikundi mbalimbali vya ngoma za asili vilivyokuwa vikitumbuiza wakati wa dhifa ya kitaifa  Ikulu jijini Dar es salaam.unnamedc10Rais wa Shirikisho la Ujerumani Mh. Joachim Gauck (wa pili kutoka kulia) akiteta jambo na Rais mstaafu wa Tanzania Ali Hassan Mwinyi jana usiku wakati wa dhifa ya kitaifa iliyoandaliwa na Rais Jakaya Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam. Kushoto ni mke wa Rais wa Ujerumani Bi. Daniella Schadt na mama Sitti Mwinyi Mwinyi.
unnamedc11Rais wa Shirikisho la Ujerumani Mh. Joachim Gauck (wa pili kutoka kulia) akiteta jambo na Rais mstaafu wa Tanzania Ali Hassan Mwinyi jana usiku wakati wa dhifa ya kitaifa iliyoandaliwa na Rais Jakaya Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam. Kushoto ni mke wa Rais wa Ujerumani Bi. Daniella Schadt na mama Sitti Mwinyi Mwinyi.unnamedg6Mkuu wa wilaya ya Temeke Sophia Mjema (kushoto) akiongea na baadhi ya wageni waalikwa akiwemo Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Diana Melrose (aliyesimama) wakati wa dhifa ya kitaifa ya chakula cha usiku iliyoandaliwa na Rais  Jakaya Kikwete kwa Rais wa Ujerumani Mh. Joachim Gauck , Ikulu jana usiku.unnamedg8Rais wa Shirikisho la Ujerumani Mh. Joachim Gauck na Rais Jakaya Kikwete wa Tanzania wakitazama Brass Bendi ya Jeshi la Polisi iliyokuwa ikitumbuiza wakati wa dhifa hiyo Ikulu jijini Dar es salaam
5wRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  na Rais wa Ujerumani Mhe,Joachim Gauck wakipokea salamu ya heshma ya Gwaride la Jeshi la wananchi wa Tanzania JWTZ ikiwa ni mapokezi ya Rais huyo wa Ujerumani mara alipowasili   katika Bandari ya Malindi Mjini Zanzibar  leo akitokea Dar es Salaam akiwa katika ziara ya siku moja Nchini akifuatana ma Mkewe Daniela Schadt pamoja na viongozi mbali mbali wa Nchi hiyo.[Picha na Ikulu.]unnamed1wRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na mgeni wake Rais wa Ujerumani Mhe,Joachim Gauck mara alipowasili   katika Bandari ya Malindi Mjini Zanzibar  leo akitokea Dar es Salaam akiwa katika ziara ya siku moja Nchini akifuatana ma Mkewe Daniela Schadt pamoja na viongozi mbali mbali wa Nchi hiyo.[Picha na Ikulu.]unnamed2wRais wa Ujerumani Mhe,Joachim Gauck akiwasili shada la mauwa na mtoto Salma  Issa mara alipowasili   katika Bandari ya Malindi Mjini Zanzibar  leo akiwa katika ziara ya siku moja Nchini akifuatana ma Mkewe Daniela Schadt pamoja na viongozi mbali mbali wa Nchi hiyo.[Picha na Ikulu.]unnamed3wRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifuatana na Mgeni wake Rais wa Ujerumani Mhe,Joachim Gauck (kushoto) mara baada ya mapokezi alipowasili   katika Bandari ya Malindi Mjini Zanzibar  leo akitokea Dar es Salaam akiwa katika ziara ya siku moja Nchini (kulia) Makamo wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi.[Picha na Ikulu.]unnamed4wRais wa Ujerumani Mhe,Joachim Gauck  akisalimiana na  Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi (katikati) mara alipowasili   katika Bandari ya Malindi Mjini Zanzibar  leo akitokea Dar es Salam akiwa katika ziara ya siku moja Nchini akifuatana ma Mkewe Daniela Schadt pamoja na viongozi mbali mbali wa Nchi hiyo (kulia) Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein [Picha na Ikulu.]
.
unnamed6wRais wa Ujerumani Mhe,Joachim Gauck akikagua  Gwaride la heshma la Jeshi la wananchi wa Tanzania JWTZ ikiwa ni mapokezi ya Rais huyo wa Ujerumani mara alipowasili   katika Bandari ya Malindi Mjini Zanzibar  leo akitokea Dar es Salaam akiwa katika ziara ya siku moja Nchini akifuatana ma Mkewe Daniela Schadt pamoja na viongozi mbali mbali wa Nchi hiyo.[Picha na Ikulu.]

No comments: