Monday, March 23, 2015

HUYU NDIYE MRITHI WA ZITTO KABWE KAMATI YA PAC

Mbunge wa Viti maalumu kutoka mkoani Tanga Amina Mwidau.
Mbunge wa Viti maalumu kutoka mkoani Tanga Amina Mwidau amerithi mikoba ya aliyekuwa mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kbwe kwa kuchaguliwa kuwa mwenyekiti wa kamati ya PAC.
Aliyekuwa Mwenyekiti wa PAC Ziito Kabwe amempongeza Amina kupewa nafasi hiyo huku akisisitiza kuwa na imani naye  katika kipindi chote alichofanya naye kazi katika kamati hiyo  akiwa Bungeni.
Ujumbe wa Zitto Kabwe katika ukurasa wake wa mitandao ya kijamii,

No comments: