Saturday, March 21, 2015

WAJASIRIAMALI WA SOKO LILILOUNGUA ARUSHA WAMSHUKURU NYALANDU


Waziri wa Maliasili na Utalii Mh. Lazaro Nyalandu akiongea na waandishi wa habari na Wajasiriamali wa soko la vinyago lililoungua moto Mkoani Arusha, mara baada ya kutoa kiasi cha shilingi milioni 100 kupitia Tanapa Ili ziweze kusaidia ujenzi wa soko hilo. Makabidhiano hayo yalifanyika jana Mkoani Arusha.


Post a Comment